Mtangazaji na mfanyakazi wa Wasafi Fm Radio kupitia kipindi cha Masham Sham Khadija Shaibu maarufu Dida, amefariki Dunia Leo hii September 04.2024 akiwa anapatiwa matibabu hospital ya Muhimbili Jijini Dar-Es- Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu.
Taarifa za kifo cha Mtangazaji huyo wa Wasafi Media zimechapishwa na Mtangazaji na rafiki wa marehemu Dida Maulid Kitenge katika Ukurasa wake wa X na Instagram.
Usikose kufuatilia Blog yetu kwa taarifa zaidi kuhusu kifo cha Mtangazaji huyo mashuhuri wa vipindi vya Burudani.


Comments
Post a Comment